Preloader

About Our Lady of Consolata Parish-Mshindo

Parokia ya Bikira Maria Consolata Mshindo, ipo katika manipaa ya Iringa na ni parokia ambayo imezaa parikia za Kihesa, Ipogolo na Mkwawa. Shughuli kuu za kitume ni pamoja na:
I. Kutoa huduma za kichungaji kwaa umakini, hususani; mafundisho, semina na makongamano kwa watoto, vijana na vyama vya kitume.
II. Kama wamisionari, kuhamasisha na kushiriki katika mipango ya kiroho na kitume jimboni.
III. Kushirikiana na viongozi wa Kanisa katika ngazi mbalimbali za kitume ndani ya parokia, kuhamasisha roho na majitoleo ya kimisionari.
IV. Kuwahudumia waumini wetu kwa karibu zaidi, hasa wagonjwa, wazee na wenye uhitaji maalum.
V. Ujenzi wa Parokia teule ya Kiwere, ambao unaendelea katika hatua za mwisho.
VI. Ujenzi wa Kigango kipya cha Ngelewala, katika maeneo ya Zizi, Mshindo, kwa lengo la kukaribisha huduma za kitume kwa waumini.


MISSION GALLERY