About St. John the Baptist Parish - Pawaga
Utangulizi
Pawaga ilianzishwa mnamo 1939 kama kigango cha Parokia ya Bikira Maria Consolata-Mshindo.
Ilianzishwa na padre Egidio Crema, imc ili kuwa
-Mt. Yohane Mbatizaji (Anasherehekewa tarehe 24 Juni kila Mwaka)
-Hadi sasa (Octoba 2025 ina Vigango 18 na vituo vya sala 2.
Eneo la Upatikanaji (Location)
-Parokia ya Pawaga ina umbali wa kilomita 73 kutoka Iringa mjini. Inapatikana Kaskazini Magharibi ya mji wa Iringa.
-Iringa Vijijini
-wanajikita zaidi katika kilimo cha Mpunga, vitunguu na maharage.
- ipo katika urefu wa mita 700 juu ya usawa wa bahari
-Ipo katika eneo la chini zaidi katika Iringa nzima.
-Hali ya hewa ni joto na kavu.
